Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) imeendelea kutoa mchango mkubwa katika elimu ya watu wazima tangu ilipoanzishwa mwaka 1960. IAE ni kitovu cha utafiti, mafunzo, na usambazaji wa elimu kwa jamii, ikiendesha kozi mbalimbali kama Cheti, Diploma, na Shahada. Kwa sasa, wanatangaza nafasi za ajira kwa wale wenye sifa zinazofaa kujiunga na taasisi hiyo ili kusaidia kutoa huduma bora zaidi kwa jamii.


Nafasi za Kazi Zinazotangazwa:

1. Cheo: Msaidizi wa Mkufunzi II (Welding na Metal Fabrication)

Nafasi: 1

Mwisho wa Maombi: 2024-10-14


2. Cheo: Msaidizi wa Mkufunzi (Electrical Engineering)

Nafasi: 3

Mwisho wa Maombi: 2024-10-14


3. Cheo: Mkufunzi II (Automotive Engineering)

Nafasi: 1

Mwisho wa Maombi: 2024-10-14


4. Cheo: Mkufunzi II (Electrical Engineering)

Nafasi: 2

Mwisho wa Maombi: 2024-10-14


Mawasiliano:

Anwani: Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Plot No. 7, Bibi Titi Mohamed Street, P.O.Box 20679, Dar es Salaam, Tanzania

Simu: +255 22 2150838

Barua pepe: info@iae.ac.tz

Post a Comment

أحدث أقدم